Wednesday, 25 February 2015
Home »
» CRISTIANO RONALDO AMEINGIA KWENYE MGOGORO WA KIBIASHARA NA KAMPUNI YA NIKE
CRISTIANO RONALDO AMEINGIA KWENYE MGOGORO WA KIBIASHARA NA KAMPUNI YA NIKE
Cristiano Ronaldo ameingia kwenye mgogoro na kampuni ya Nike inayomlipa kiasi cha zaidi ya billioni 10 za kitanzania kwa mwaka kwa kuwatangazia bidhaa zao - baada ya mshambuliaji huyo kuanza kuuza bidhaa za nembo ya CR7 ambazo zinaingiliana na bidhaa za Nike. - Nike wamemwambia Ronaldo aache kuuza viatu vya mazoezi vya nembo ya CR7 au atapoteza mkataba wake na kampuni hiyo.
0 comments:
Post a Comment