Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na wakala wa mchezaji Christiano Ronaldo anayeichezea Madrid kwa lengo la kumrudisha katika klabu yake hiyo ya zamani ya Old Trafford.

Kwa mujibu wa gazeti la Metro la Uingereza, United ina matumaini ya kumpata Ronaldo kwa kitita cha Euro millioni 100 ambazo ni sawa na pauni millioni 71.1.
Uhakika wa raia huyo wa Ureno kukubali kurudi Manchester United upo juu yake ,licha ya kuipenda klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment