Dortmund wakibaki katikati ya Msimamo wa Ligi na Bayern kuelekea kutetea Taji lao.
Bao la ushindi la Bayern lilifungwa na Mchezaji wa zamani wa Dortmund Robert Lewandowski katika Dakika ya 36.
Ushindi huu umewapa Bayern uongozi wa Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Wolfsburg na Dortmund kubaki Nafasi ya 10.









0 comments:
Post a Comment