Pages

Friday, 27 February 2015

ANGALIA KIKOSI CHA KWANZA CHA YANGA LEO KITAKACHOWAUA BDF LEO USIKU

GOLIKIPA ni Ally Mustapha ‘Bartezi, beki wa kulia ni Mbuyu Twite, kushoto Oscar Joshua.
MABEKI WA KATI ni Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kelvin Patrick Yondan ‘Cotton’.
Kiungo namba sita ni Said Juma, winga wa kulia ni Mrisho Ngasa. Tofauti na mawazo ya wengi, Saimon Msuva ameanza namba 8.
MSHAMBULIAJI WA KATI ni Amissi Tambwe, nyuma yake anacheza Danny Mrwanda na winga wa kushoto ni Haruna Niyonzima.
WACHEZAJI WA AKIBA: Deo Munishi ‘Dida’, Rajab Zahir, Jerryson Tegete, Salum Telela, Pato Ngonyani, Hussein Javu na Kpah Sherman.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates