Ligi ni ngumu saaana na hakuna mwenye hati miliki ya kuwa bingwa so bingwa maybe anaweza patikana katika game za mwisho mwa ligi. Wekundu wa Msimbazi wanayo ñafasi ya kufanya vizuri endapo wata maintain ushindi wao wakiwa na commitment. Mustakabali wa Yanga upo juu ya game la Ruvu Shooting na Mnyama. Azam Wanaweza potea. Mwl Chimbenga from Tangazo.
Ligi ni ngumu saaana na hakuna mwenye hati miliki ya kuwa bingwa so bingwa maybe anaweza patikana katika game za mwisho mwa ligi.
ReplyDeleteWekundu wa Msimbazi wanayo ñafasi ya kufanya vizuri endapo wata maintain ushindi wao wakiwa na commitment. Mustakabali wa Yanga upo juu ya game la Ruvu Shooting na Mnyama. Azam Wanaweza potea. Mwl Chimbenga from Tangazo.