Bao 2 za Philippe Coutinho na Raheem Sterling zimewapa ushindi wa Ugenini Liverpool wa Bao 2-0 walipoichapa Southampton na kupaa hadi Nafasi ya 6 katika Msimamo wa Ligi Kuu England.
Ushindi huo umeifanya Liverpool, ambao ndio Timu pekee haijafungwa kwenye Ligi Mwaka huu 2015, wawe Pointi 2 tu nyuma ya Timu ya 4 Manchester United ambazo ndio huanzia Nafasi za kucheza UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao.
MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZA JANA
Tottenham 2 West Ham 2
Everton 2 Leicester 2
0 comments:
Post a Comment