Huwenda bondia Fransic Cheka akarejea uraiani endapo rufaa yake kwa sababu ndugu na jamaa wa familia ya cheka wapo katika mchakato wa kumkatia rufaa bondia huyo wa ngumi za kulipwa nchini, bado unaendelea ambapo kwa sasa faili la hukumu ya kesi yake linatarajia kupelekwa Daresalaam katika Mahakama ya Rufaa siku yoyote.
Bondia huyo alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu baada ya kupatikana na hatia ya shambulio la kudhuru mwili dhidi ya meneja wa baa yake, Bahati Kibanda, lililofanyika Julai 2, mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment