Mechi hiyo ya marudiano itaanza kuanzia majira ya saa 2 kamili Usiku kwa saa za Afrika Mashariki na kurushwa live na Azam Tv
Kikosi kamili cha mabingwa hao wa Tanzania kimeongezewa nguvu na uwepo wa naibu waziri wa michezo Mheshimiwa Juma Nkamia ambaye amesafiri mpaka Sudani kuwapa supoti wachezaji hao
Jana kikosi kamili cha kocha Patrick Omog kilifanya mazoezi ya mwisho katika uwanja ambao utapigwa mchezo huo leo.
Azam wataingia katika mchezo wa leo wakiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi wa bao 2-0 walioupata wiki mbili zilizopita jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment