Nani amefunga bao hilo umbali wa zaidi ya mita 30 wakati Sporting ilipishinda Gil Vicente kwa mabao 2-0, jana.
Baada ya kufunga bao hilo safi kabisa, Nani alijilaza na kuanza kulia

Licha ya wenzake kumshawishi kuinuka, aliendelea kulia huku akiinua mikono juu akionyesha kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Nani ,28, alipelekwa kwa mkopo katika timu yake hiyo iliyomkuza kisoka baada ya kuonekana hana kiwango kizuri
Wakati wa Alex Ferguson na Man United ikiwa tishio, Nani alikuwa mmoja wa wachezaji bora wanaotegemewa.








0 comments:
Post a Comment