MABINGWA wa Germany, Bayern Munich,
wameitandika Paderborn Bao 6-0 katika Mechi waliyocheza Ugenini na kupaa Pointi 11 kileleni mbele ya Timu ya Pili Wolfsburg.
wameitandika Paderborn Bao 6-0 katika Mechi waliyocheza Ugenini na kupaa Pointi 11 kileleni mbele ya Timu ya Pili Wolfsburg.
Hadi Mapumziko, Bayern walikuwa mbele 2-0 kwa Bao 2 za Robert Lewandowski na Kipindi cha Pili Paderborn walipata balaa baada ya kutoa Penati iliyompa Kadi Nyekundu Mchezaji wao Florian Hartherz na Arjen Robben kufunga Penati hiyo katika Dakika ya 62.
Bao nyingine za Bayern zilipigwa na Franck Ribery, Mitchell Weiser na Arjen Robben.
0 comments:
Post a Comment