Baada ya juzi kuripotiwa kifo cha msanii wa kizazi kipya MEZ B leo kuna taarifa kuwa mchezaji wa zamani wa timu ya Simba Sc na Timu ya Taifa ya tanzania Taifa stars Chrisstopher Alex Masawe amefariki leo dunia huko Dodoma baada ya kuugua muda Mrefu kwa maradhi yanayodaiwa kuwa ni kifua
TAARIFA KAMILI NITAENDELEA KUKUJUZA KUPITIA MTANDAO HUU
Sunday, 22 February 2015
Home »
» BREAKING NEWS: MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA NA TIMU YA TAIFA CHRISTOPHER ALEX AFARIKI DUNIA
0 comments:
Post a Comment