Timu
ya Yanga leo imejiimarisha zaidi kwenye msimamo wa ligi kuu tanzania bara, baada
ya leo kuwababua Mbeya city magoli 3-1 leo katika uwanja wa Sokoine jijini
Mbeya magoli hayo yamefungwa na washambuliaji ya
afrika,Bao
la kwanza likifungwa na mshambuliaji mwenye kasi uwanjani Simoni Msuva la
pili Mrisho Ngasa katika kipindi cha kwanza nagoli la tatu likifungwa na
mshambuliaji Hamisi Tambwe dakika ya 78.
Goli
kufutia machozi la mbeya city limefungwa na Peter Mapunda dakika ya 69.
Nao
Simba sports club leo
imeshindwa kutamba mbele ya Stand United mara baada ya kukubali kipigo cha goli
1-0 katika mchezo uliochezwa katika dimba la Kambarage mjini shinyanga
Goli
pekee la Stand limefungwa na Abas Chidiebere dakika ya 11 ya mchezo huku
mchezo huo ukishuhudiwa kadi mbili nyekundu kwa wachezaji wa Stand,Abuu Ubwa naYassin Mustapha kwa kumchezea rafu
hatarishi Banda.
Kwa matokeo hayo Simba
inabaki nafasi ya 4 huku stand
0 comments:
Post a Comment