Pages

Monday, 23 February 2015

AZAM YAVUTWA SHATI NA PRISON YATOA SARE NA PRISON

Azam fc jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Tanzania prison katika mchezo uliochezwa usiku katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam,.

Kwa matokeo hayoSasa imefikisha pointi 27 baada ya mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara huku ikkiendelea kushika nafasi ya pili 

Yanga inaendelea kuongoza ikiwa na pointi nne zaidi ya Azam FC ikiwa ni baada ya kuitwanga Mbeya City kwa mabao 3-1.

Azam imecheza mechi 15, imeshinda saba, sare sita na wamepoteza mbili.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates