Pages

Monday, 2 March 2015

MKUU WA MKOA WA MTWARA BI HALIMA AHIMIZA MICHEZO SASA KILA MWEZI KUTAKUWA NA BONANZA LA MICHEZO

Katika kuhakikisha mkoa wa mtwara na kusini kwa ujumla inasonga mbele katika michezo ni vyema vingozi wa serikali wakawa mstari wa mbele katika kuhamasisha na kuchangia kwa namna yoyote ile katika tasnia ya michezo

Naomba nitumie fursa hii kumpongeza mkuu wa mkoa wa Mtwara Mh. Halima Ndendegu kutokana na kile alichokisema kuhusu michezo wakati wa shughuli za usafi katika hospitali ya mkoa wa Mtwara Ligula ikiwa ni sehemu ya maadhimisho kuelekea siku ya wanawake duniani
Bi Halima alisema sasa kutakuwa na mabonanza ya michezo kila mwezi ili kuhakikisha wafanyakazi wa serikali na watu wengine wanakuwa na utamaduni wa kuthamini michezo kwa ajili ya kujenga afya
Nitoe rai kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara kupeleka nguvu zake za dhati kuwasaidia wana michezo wote wa hapa Mtwara kwani naamini mikoa ya kusini kuna hazina kubwa ya wanamichezo ambao wakitumika vizuri wanaweza kuuletea mkoa sifa kubwa na wao kupata meondeleo kwani michezo ni ajira
Hongera Mkuu wa mkoa kwa kuthamini michezo usiishie hapo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates