Legendari wa Timu ya Barcelona (1998-2004) na timu ya taifa ya Uholanzi Atatua tanzania muda wowote tayari kwa ajili ya mchezo na wachezaji wa zamani wa tanzania na wale wa barcelona utakaohamasisha kuacha mauaji ya albino
katika ukurasa wake wa twitter Kluvert ameandika
"On my way to Tanzania to Play a match Barcelona Legends vs Legends of Tanzania AND to help the Albino's from this horrible situation"
katika ukurasa wake wa twitter Kluvert ameandika
"On my way to Tanzania to Play a match Barcelona Legends vs Legends of Tanzania AND to help the Albino's from this horrible situation"
Wakati Kluivert akisubiriwa Luis Javier GarcĂa Sanz kati ya mwaka 1994 hadi 1997 alicheza timu ya vijana ya Barcelona na baadae kucheza timu kama Liverpool,Althetico Madrid na nyingine nyingi. Hadi sasa ameshinda magoli 136 na bado anaendelea kucheza soka na timu ya Atletico Kolkata huko India. amewasili leo hii na yupo tayari kwa ajili ya mechi ya magwiji dhidi ya Taifa stars
0 comments:
Post a Comment