Pages

Tuesday, 7 April 2015

TFF YAMTEUA ADOLF RICHARD KUWA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA , U-15 WAINGIA KAMBINI LEO

Timu ya Taifa umri chini ya miaka 15 ikiwa na jumla ya wachezaji 30 imeingia kambini leo kujiandaa michezo ya mtoano wa fainali za Afrika Madagascar umri chini ya miaka 17 itakayofanyika mwaka 2017.
Timu hiyo itakuwa katika programu ya siku 10 ili kuwaandaa vijana hao ambao wamepiga kambi katika hoteli ya Itmbi jijini dares salaam katika michezo mbalibali ya kirafiki wanayotarajia kucheza katika mikoa saba hapa nchini
Baada ya program hiyo timu hiyo itafanya ziara katika nchi mbalimbali ikiwemo Zambia,Malawi,zimbabwe na Afrika ya kusini ikiwa huko itacheza michezo ya kujipima uwezo ili kuwaweka vizuri kufuzu michuano hiyo ya afrika
Wakati huohuo TFF imemteua Adolf Rishard kuwa kocha wa Taifa wa mpira wa vijana ambapo leo amesaini mkataba mnono
Kocha huyo hivi karibuni alitimuliwa kuinoa timu ya polisi moro baada ya timu hiyo kuwa na matokeo mabovu
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates