Basi lililobeba mashabiki wa Yanga wanaokwenda
kuishangilia timu yao keshokutwa, tayari limewasili nchini Zimbabwe.
Tayari wamechawasili
kwenye mpaka wa Zimbabwe leo asubuhi na muda wowote watawasili nchini humo leo.

Mmoja wa mashabiki walio katika basi hilo
amesema wamekuwa wakiendelea vizuri. Msafara wa basi hilo, pia yumo mzee wa
Yanga, Ibrahim Akilimali ambaye ameungana na vijana kwenda kuwapa nguvu Yanga.
Yanga itashuka dimbani Jumamosi kuhakikisha
inalinda ushindi wake wa mabao 5-1 ilioupata jijini Dar ili isonge mbele.
0 comments:
Post a Comment