Wezi wamevamia nyumba ya mchezaji wa Yanga KPAH SHERMAN na kumuibia vitu vyenye thamani ya mamilioni ambazo ni zaidi na shilingi milioni 30 za kitanzania
Tukio hilo limetokea jana mchana wakati mchezaji huyo alipotoka nyumbani kwake mtaa wa Shekilango jijini daresalaam akielekea katika makao makuu ya klabu yake ya Yanga
Sherman akizunguza baada ya tukio hilo amesemawezi hao walipitia baada ya kuvunja dirisha la choo na kuiba vitu kadhaa ikiwemo kiasi cha fedha dola 2000 na viatu vya michezo Tv, na vifaa mbalimbali vya umeme
Hata hivyo mchezaji huyo amesema ametoa taarifa kituo cha polisi urafiki
Mwanasheria wa Yanga Frank Chacha amekiri kutoa kwa taarifa na wameanza taratibu kwa kufungua RB na URP/RB/2045/2015
CHANZO:BIN ZUBERY

0 comments:
Post a Comment