Pamoja na hali ya vurugu inayoendelea nchini Burundi, Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza ameamua kujipoza kwa kucheza soka. Nkurunziza aliyeokoka baada ya jaribio la kutaka kumpindua, amefanikiwa kurejea madarakani. Sasa anataka kuwania nafasi ya urais kwa muhula wanne na wananchi wamekuwa wakipinga hilo. |
Friday, 22 May 2015
Home »
» ANGALIA NKURUZINZA ANAVYOPIGA SOKA WAKATI NCHI YAKE IKIENDELEA NA VURUGU ZA KISIASA
0 comments:
Post a Comment