Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa urushwaji wa matangazo ya Kombe la Dunia kwa lugha ya kiswahili katika vituo vya TV1 na TBC,
Waziri Mwakyembe alikutana na Alikiba na akaonja kinywaji cha Mo Faya ambacho kinamilikiwa na Alikiba.
0 comments:
Post a Comment