Taifa stars wamepangwa sambamba na Zimbabwe, Lesotho na Namibia katika michuano hiyo ambayo aifa stars imealikwa kushiriki pamoja na Ghana.

Makundi ya michuano hiyo inayoshirikisha timu za taifa za kusini mwa Afrika yamepangwausiku huu, ambapo yamewekwa katika makundi mawili.
Vinara wa kila kundi wataingia hatua ya robo fainali ambapo watajumuika na timu nyingine sita ambazo ni Malawi, Zambia, Afrika kusini, Botswana, Ghana na Msumbiji.
MAKUNDI YA KOMBE LA COSAFA:
KUNDI AA1 - Namibia
A2 - Lesotho
A3 - Zimbabwe
A4 - Tanzania
KUNDI B
B1 - Seychelles
B2 - Madagascar
B3 - Mauritius
B4 - Swaziland
0 comments:
Post a Comment