Hart Lane ambao utagharimu kitita cha pauni milioni 400.
Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamani 56,000
walioketi.
Awali kulikuwa a pingamizi mahakama kuu, lakini likatupwa na
kutoa nafasi hiyo ya kuanza kujenga.
Kwa mujibu wa mtandao wa timu hiyo, uwanja huo unatarajiwa
kuwa umekamilika na kuanza kutumika katika msimu wa 2018-19.
0 comments:
Post a Comment