Pages

Wednesday, 25 February 2015

DEREVA BINGWA WA DUNIA WA MBIO ZA MAGARI ATOKA HOSPITALI BAADA YA KUPATA AJALI

Dereva wa timu ya Mclaren Fernando Alonso ametoka hospitali kufuatia kupata ajali.
Bigwa huyu wa dunia mara mbili amerudi nchini Hispania kujiunga na familia yake kwa ajili ya mapumziko na kuweza kupona kabisa.
Majeruhi haya ya Alonso yatasabaisha kukosa kwa raundi ya tatu ya majaribio ya magari yatakayofanyika kuanzia Alhamis huko Barcelona.
Timu ya Mclaren imesema madereva Kevin Magnussen atashirikiana na Jenson Button katika kujaribu magari.
Timu za magari yaendayo kasi zinajiandaa kuanza msimu mpya utakaoanza Machi 15.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates