Simba sports club leo imapata ushindi wa nguvu baada ya kuibua Tanzania prison jumla ya magoli 5 kwa bila ibrahim ajibu akifunga hattrik dakika ya 17,23 na 42 huku Emanuel okwi akitupia 1 dakika ya 75 nagoli jingine kufungwa na Ramadhani singano messi dakika ya 84
Kipindi cha pili, Simba imefanikiwa kufunga mabao mawili kupitia Emmanuel Okwi na Ramadhani Singano ‘Messi’.
Huu ndiyo ushindi mkubwa zaidi kwa Simba msimu huu.
Kwa matokeo hayo inabaki nafasi ya nne na pointi zake 23
Katika dabi ya tanga Coastal Union 1-0 Mgambo Jkt goli la coast likifungwa Yaya Kato Lutimba 90'
Mbeya city wamelazimishwa sare dhidi ya ruvu shooting huko Mbeya
0 comments:
Post a Comment