Yanga
Leo hii wapo huko Gaborone, Botswana kuanza matumaini ya Kabu 4 za
Tanzania kuvuka Raundi ya Awali ya michuano ya Afrika watakapocheza na
Timu ya Jeshi la Nchi hiyo BDF XI ikiwa ni Mechi ya Pili ya Raundi ya
Awali ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho.
Yanga walishinda Mechi ya kwanza Jijini Dar es Salaam Bao 2-0.
Jumamosi
Timu nyingine mbili za Tanzania, Azam FC na KMKM, zitakuwa Viwanjani
kwenye Mechi zao za Pili za Raundi ya Awali ya CAF CHAMPIONS LIGI wakati
Polisi ya Zanzibar itacheza Mechi yake ya Pili ya Raundi ya Awali ya
Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho hapo Jumapili.
Friday, 27 February 2015
Home »
» YANGA KUANZA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA LEO UGENINI NA BDF SAA MBILI USIKU
0 comments:
Post a Comment