Pages

Sunday, 8 March 2015

DABI YA KARIAKOO SIMBA NA YANGA VITA KALI YA WAZUNGU GORAN KOPNOVIC NA HANS PLUIM



Yanga na Simba zinakutana leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara.
Lakini kila kocha amezungumza kuelekea mchezo huo 

MWAMUZI: MARTIN SANYA


KAULI YA KOCHA WA SIMBA GORAN KOPNOVIC

Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic amesema wako tayari kwa ajili ya Yanga wanayokutana nayo leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.
Kopunovic amesema kama mambo yatakwenda kama walivyopanga, basi Simba wategemee burudani na ushindi.
“Sio mechi ya kudharau, tunajua ina presha kubwa lakini tumezungumza kila kitu na tumeelewana.
“Iwapo mambo yatakwenda kama tulivyopanga, imani yetu Wanasimba watafurahi. Tunazitaka pointi tatu, lakini tunajua tunataka Wanasimba wafurahi,” alisema akionyesha kujiamini.
Kikubwa ni kujilinda vema na kuhakikisha tunatumia nafasi. Kwa kifupi umakini wa hali ya juu unahitajika.
KAULI YA KOCHA WA YANGA HANS PLUIJM


Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema watacheza soka la kushambulia zaidi katika mechi yao dhidi ya Simba, leo na wana nafasi ya kufunga mabao manne katika mechi hiyo.

“Tunaongoza kwa kutengeneza nafasi, lakini hatuzitumii. Wachezaji wanalijua hilo, hivyo ni lazima tufunge.

“Tima uwezo wa kufunga mabao mawili kila kipindi. Hilo ndiyo lengo lakini lazima tuwe makini na kuwekeza akili katika umaliziaji hasa kwa washambuliaji,” alisema Pluijm.

MECHI NYINGINE
Ndanda vs Jkt Mgambo
Mbeya city vs Mtibwa
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates