Jana Usiku, Vinara wa La Liga Real Madrid walichapwa Bao 1-0 na Athletic Bilbao na hii ni nafasi safasi kwa Mahasimu wao Barcelona kutwaa uongozi wa Ligi hiyo ya Spain ikiwa watashinda Mechi yao ya Leo.
Bao lililoizamisha Real hiyo Jana lilifungwa Dakika ya 26 na Aritz Aduriz Zubeldia.
Matokeo haya yameiacha Real iwe na Pointi 61 kwa Mechi 26 na Barca wana Pointi 59 kwa Mechi 25.
Leo Barca wako kwao Nou Camp kucheza na Rayo Vallecano.
0 comments:
Post a Comment