Bilioni namba moja kwa vijana barani
Afrika Mohammed Dewiji (Mo) anataraji kuingia makubaliano ya udhamini na
timu anayo ipenda ya Simba SC wakati wowote kuanzia sasa.
Mohammed Dewji ambaye katika mwanzoni
mwa miaka ya 2000 alipata kuidhamini Simba SC, anatarajia kutoa kiasi
cha Tsh 500 milioni na Simba SC, baada ya miaka takribani 10 toka
aidhamini Simba SC.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotufikia inaeleza kuwa udhamini huo unataraijiwa kuanza mwakani na utagharimu Tsh milioni 500.
SOURCE: SPORTS IN BONGO
Saturday, 7 March 2015
Home »
» SIMBA KUPATA UDHAMINI MNONO WA BILIONEA WA AFRIKA
0 comments:
Post a Comment