Baada ya mchezo kati ya Kagera sugar Stand United kushindwa kumalizika jana mchezo huo umemalizika leo huku Stand ikipata ushindi wa goli 2-0 na kujiongezea pointi tatu muhimu
mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara imechezwa katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
Mnigeria Chidiebere maarufu kama Chidi ndiye amefunga mabao yote mawili.
Chidi alifunga bao moja jana lakini mechi hiyo ikasimama katika dakika 80 kutokana na mvua kubwa na leo akmalizia goli moja
0 comments:
Post a Comment