Yanga Leo wakiwa ugenini Uwanja wa mkwakwani Tanga wameichapa Mgambo shooting magoli 2-0 na kuwaacha zaidi Mabingwa Watetezi Azam FC wakijiimarisha kileleni na kukamata hatamu ya Ligi Kuu Vodacom.
Bao za Yanga hii Leo zilifungwa na Simon Msuva dk 77 baada ya purukushani katika lango la Mgambo na goli la pili ilikuwa dk 83 Tambwe alipoifungia Yanga bonge la bao kwa kichwa baada ya krosi ya Msuva
Hapa Mtwara katika uwanja wa Nangwanda sijaona , wana wa kukaya NDANDA FC wametoa sare tasa yabila kufungana walipoikaribisha JKT RUVU kutoka mkoani pwani
0 comments:
Post a Comment