Pages

Wednesday, 1 April 2015

EMMANUEL OKWI KUJIUNGA NA AZAM MWISHO WA MSIMU HUU

Mchezaji wa Simba Emanuel Okwi amefunguka na kuweka wazi kwamba amefanya mazungumzo na na Klabu ya Azam na wamefikia muafaka na huwenda mchezaji huyo akajiunga na mabingwa hao watetezi mwishoni mwa msimu huu 
Mchezaji huyo ametweet katika mtandao wa kijamii wa twiter kuthibitisha hilo Okwi ameandika:



''Morning! Am delighted to inform u that I have reached an agreement with Azam FC and I will be joining them at the end of the season..''
ONYO; LEO NI FOOLISH DAY NA HUU NI UTANI TU HAKUNA UKWELI WOWOTE

Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates