Yanga na Azam FC hii leo wateendelea kufukuzana pale timu hizo zitakapo shuka katika viwanja vya Azam complex na uwnaja wa Taifa kusaka pointi tatu muhimu za kuelekea kutangaza ubingwa wa Tanzania bara.

Yanga SC watakuwa katika uwanja wa Taifa kuwakabili Coastal Union wakati Azam FC watawakaribisha Mbeya city katika uwanja wa Azam complex.
Yanga hii leo wanatarajia kukosa huduma ya mshambuliaji Mrisho Ngassa na kiungo Saidi Makapu waliopata majeraha katika mchezo wa kombe la shirikisho dhdi ya FC Platinum.
Wakati Azam Fc wao wakikosa huduma ya kiungo mchezeshaji Salum Aboubakari, huku wakimkaribisha Kipre Bolue aliyekuwa nnje ya uwanja kwa wiki kadhaa sasa.
Kwa upande wa Mbeya city wanao wakabili Azam FC, wao watakuwa wanakaribisha urejeo wa beki yao Juma Nyosso baada ya kkosa michez nane aliyo kuwa amefungiwa na shirikisho la soka nchini TFF.
Coastal union wanashuka uwanjani wakiwa na nguvu ya kutosha baada ya mwanachama na shabiki wa timu hiyo Binslum kuamuwa kutia mkono wake kuokoa jahazi la coastal union huku akiwataka wanachama na mashabiki kufunika tofauti zao
Coastal union wamekuwa wakipata matokeo katika uwanja wa Tafa toka irejee ligi kuu ya vodacom na mchezo wa leo utakuwa mchezo wa pili kwa kocha Jamhuri Kiwhelo Julio kuiongoza Coastal union.

0 comments:
Post a Comment