Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa, Karim Benzema amekiri baada ya pambano hilo dhidi ya Granada kwamba Ronaldo alikuwa katika kiwango cha hali ya juu.
“Ronaldo ni mtu wa ajabu sana. siku zote anatafuta mabao na jinsi ya kuisaidia timu. Anastahili kila alichopata katika maisha yake ya soka,” alisema Benzema ambaye katika pambano hilo alifunga mabao mawili
Mabao yake matano ya juzi dhidi ya Granada katika ushindi mnono wa mabao 9-1 wa Real yamefanya afikishe mabao 300 na hivyo kubakisha mabao 23 kumfikia mkongwe Raul Gonzalez ambaye anashikilia rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi klabuni hapo akiwa na mabao 323 katika mechi 741.
HISTORIA inakaribia kubadilika Santiago Bernabeu. Ni mshikemshike. Cristiano Ronaldo anaisaka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote Real Madrid na sasa amebakiza mabao 23.

Ronaldo pia amebakisha mabao manane tu kufikia rekodi ya mkongwe anayeheshimika zaidi klabuni hapo marehemu, Alfredo di Stefano ambaye alifunga mabao 308 katika mechi 396.
Hata hivyo, inaonekana Ronaldo anaweza kuvunja rekodi zao akiwa amecheza mechi chache zaidi ambapo mpaka sasa ameichezea Real Madrid mechi 287 tu na kuna kila dalili msimu huu tu anaweza kuvunja rekodi hizo.
SOURCE: MWANASPOTI

0 comments:
Post a Comment