MSHAMBULIAJI wa Yanga, Simon Msuva, amesema kwa kikosi chao kilivyoimarika, ushirikiano anaupata kutoka wa wenzake na bidii yake uwanjani, ana kila sababu ya kumaliza msimu huu wa Ligi Kuu Bara akiwa amefunga mabao yasiyopungua 20.
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya wanaowania ufungaji bora ana mabao 13, Mrundi wa Azam Didier Kavumbagu na Rashid Mandawa wa Kagera Sugar, wanashika nafasi ya pili na wamefungana kwa mabao 10, Mrundi Amissi Tambwe ni wa tatu kwa mabao tisa wakati nafasi ya nne inashikiliwa na Malimi Busungu wa Mgambo Shooting mwenye mabao manane
LISTI KAMILI YA WAFUNGAJI

0 comments:
Post a Comment