Pages

Friday, 10 April 2015

SOMA HAPA UCHAWI ANAOUTUMIA ANDER HERRERA AKIRI YEYE NI MSHIRIKINA

Ander Herrera anasema yeye hubeba jina lake kamili nyuma ya jezi yake kwa sababu za kishirikina tangia alipokua akikipiga Athletic Bilbao.
Video ya maswali na majibu iliyotumwa kwenye ukurasa wa Facebook wa man united Jumanne asubuhi ,Kiungo huyo umebaini kuwa yeye huvaa jezi yenye majina yake yote ili kumfanya awe katika kiwango bora muda wote na hiyo ndio iliyomfanya ahamie ligi kuu ya uingereza msimu huu.
Herrera alijiunga na mashetani wekundu kwa kitita cha paundi milioni 29 kutokana na mafanikio aliyoyapata katika kipindi cha miaka mitatu Bilbao, ambapo yeye alifanikiwa kucheza fainali za Copa del Rey na fainali Europa League katika msimu wake wa kwanza katika klabu hiyo misimu wa mwaka 2011-12.
“Mimi ni mshirikina nilianza kutumia Ander Herrera kutoka nlipokua Athletic [Bilbao] miaka mitatu iliyopita na nadhani ilikuwa ni kipindi kizuri  sana na nataka niendelee hivyo hapa” alisema hayo wakati akihojiwa. Baada ya kusuasua mwanzo wa maisha yake pale Old Trafford.
Herrera alimlazimisha meneja Louis van Gaal kumpa nafasi kikosi cha kwanza kutokana na kiwango bora alichokionyesha na kumfanya van gaal kumwamini na kumpa nafasi kikosini.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates