Chelsea jana imeyaaga mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya katika uwanja wao wa nyumbani huko Stamford Bridge walipowakaribisha Paris St-Germain
Kikosi cha PSG kikiwa na wachezaji kumi uwanjani baada ya talisman Zlatan Ibrahimovic kupewa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi Oscar.
Paris Saint-Germain inasonga mbele kwenye hatua ya robo fainali kwenye michuano hiyo ya klabu bingwa kwa tofauti ya magoli baada ya sare ya magoli 2-2 na klabu ya Chelsea.
Chelsea jana ilizidiwa kimchezo na PSG katika uwanja wa nyumbani richa ya PSG kuwa na wachezaji pungufu hali iliyofanya wadau na wachezaji wa soka mbalimbali kutoa maoni yao kwenye mtandao wa twitter na kuisifu PSG
Miongoni mwa wadau hao ni pamoja na Wyne Rooney, Ossie Ardiles, John Heitinga, Luis Garcia
BAYERN MUNIC VS DONESTK
0 comments:
Post a Comment