Pages

Sunday, 15 March 2015

EURO MILLIONI 100 KUMRUDISHA CHRISTIANO RONALDO MAN UNITED

Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na wakala wa  mchezaji Christiano Ronaldo anayeichezea Madrid kwa lengo la kumrudisha katika klabu yake hiyo ya zamani ya Old Trafford.
Kumekuwa na uvumi kuwa mchezaji huyo haridhishwi na maisha anayoishi katika klabu yake ya sasa ya Real Madrid na huenda safari yake ya kurudi Manchester United ikiwa kweli baada ya viongozi wa timu hiyo kuanza mazungunzo na bosi wake Jorge Mendes.
Kwa mujibu wa gazeti la Metro la Uingereza, United ina matumaini ya kumpata Ronaldo kwa kitita cha Euro millioni 100 ambazo ni sawa na pauni millioni 71.1.
Uhakika wa raia huyo wa Ureno kukubali kurudi Manchester United upo juu yake ,licha ya kuipenda klabu hiyo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates