Pages

Sunday, 15 March 2015

MESSI AONGOZA KWA MAGOLI LA LIGA AMFUNIKA RONALDO SASA BARCA YAJIKITA KILLELENI WALIPOIFUNGA 2-0 EIBAR

Vinara wa La Liga huko Spain FC Barcelona Jana wamepanda na kuwa Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili Real Madrid ambao Usiku huu waracheza na Levante.
Jana Barca iliichapa Eibar Ugenini Bao 2-0 kwa Bao za Nahodha wao wa Mechi hiyo Lionel Messi ambae sasa ametwaa uongozi wa Ufungaji Bora La Liga kwa Msimu huu akiwa na Bao 32 zikiwa ni 2 mbele ya Cristiano Ronaldo.
Hiyo Jana, Bao za Messi zilifungwa kwa Penati ya Dakika ya 31 na Kichwa kufuatia Kona ya Dakika ya 55.
Ushindi huo wa Barca pia umewahakikishia wao kuwa angalau Pointi 1 mbele ya Real wakàti Timu hizo zitakapokutana kwenye El Clasico ya La Liga Wikiendi ijayo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates