Mabingwa wa Ligi Kuu England Manchester City wamefungwa Bao 1-0 na Burnley na kuathiri sana utetezi wa Taji lao.
City sasa wamebaki Pointi 5 nyuma ya Vinara Chelsea ambao wana Mechi 2 mkononi.
Bao la Burnley lilifungwa na George Boyd katika Dakika ya 61.
Mapema Jana Jumamosi Asenal wakicheza kwao Emirates waliichapa West Ham Bao 3-0 na kujizatiti Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 1 nyuma ya City ambao wako Nafasi ya Pili.
Bao za Arsenal zilifungwa na Olivier Giroud, Aaron Ramsey na Flamini.
MATOKEO MENGINE
0 comments:
Post a Comment