Pages

Sunday, 15 March 2015

OKWI AING'ARISHA SIMBA IKITAFUNA MIWA YA MTIBWA TAIFA YASHINDA 1-0 PRISON YAFUFUKA, ANGALIA MATOKEO NA MSIMAMO

MCHEZAJI raia wa Uganda Emmanuel Okwi, jana alifanya maajabu mengine  kwa simba baada ya kufunga Bao pekee na la ushindi walipoilaza Mtibwa sugar Bao 1-0 kwenye Mechi ya Ligi  Kuu Vodacom iliyochezwa uwanja wa taifa.
Bao hilo la Okwi lilifungwa Dakika za mwisho na kuiimarisha Simba katika Nafasi ya 3 wakiwa na Pointi 29 kwa Mechi 18 na juu yao wapo Mabingwa Watetezi Azam FC wenye Pointi 30 kwa Mechi 16 na Yanga bado wapo kileleni wakiwa na Pointi 31 kwa Mechi 16
MATOKEO YA MECHI ZINGINE ZA JANA
Polisi Moro 0 JKT Ruvu 1
Tanzania Prisons 3 Stand United 0
Ruvu Shooting 1 Coastal Union 1
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
 
GD
PTS
1
Yanga
16
9
4
3
21
9
 
12
31
2
Azam FC
16
7
7
2
23
12
 
11
30
3
Simba
18
7
8
3
22
12
 
10
29
4
Kagera Sugar
18
6
7
5
15
15
 
0
25
5
Coastal Union
19
5
9
5
14
13
 
1
24
6
JKT Ruvu
18
6
5
7
16
17
 
-1
23
7
Ruvu Shooting
19
5
8
6
13
15
 
-2
23
8
Mtibwa Sugar
17
5
7
5
17
17
 
0
22
9
Ndanda FC
18
6
4
8
17
22
 
-5
22
10
Stand United
18
5
6
7
16
21
 
-5
21
11
Polisi Moro
19
4
8
7
13
17
 
-4
20
12
Mgambo JKT
16
6
2
8
11
17
 
-6
20
13
Mbeya City
16
4
6
6
11
15
 
-4
18
14
Tanzania Prisons
18
1
10
6
14
21
 
-7
16

++++++++++++++++++++++++++
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates