Kocha ArsenalWenger ameibuka ameibuka kuwa Kocha bora wa mwezi wa tatu baada ya kuwagalagaza makocha wenzake kama Van Gaal na wengine,Sambamba na Wenger mshambuliaji watimu hiyo Olivier Giroud ameibuka kuwa mchezaji bora baada ya kuwabwaga nyota wengine kama Harry Kane na Fellaini.
Arsenal imeshinda mechi zake zote 6 za mwezoi wa 3,na katika mechi hizo Mshambuliaji huyo wa Arsenal amefunga magoli 6.
0 comments:
Post a Comment