Pages

Tuesday, 21 April 2015

BAADA YA KUSEMWA ANASHUSHWA KIWANGO NA DEMU WAKE PETER MANYIKA AOMBA MSAMAHA KWA WANA SIMBA

Baada ya Simba kupoteza mchezo wa juzi Jumamosi dhidi ya Mbeya City kwa mabao 2-0, kipa wa timu hiyo, Peter Manyika ambaye alidaka katika mchezo huo amechukizwa na matokeo hayo na kuamua kufunguka kwa kuandika ujumbe uliokwenda sambamba na picha ya mrembo huyo katika akaunti yake ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram akiomba Simba wamteme ikiwa uongozi wa timu yake unahisi hafanyi vizuri katika kikosi hicho.
UJUMBE ALIOUANDIKA MANYIKA KWENYE AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM


Baada ya kuandikwa sana na kukosolewa kwa majibu yake, Manyika Jr amejitokeza na kuwaomba radhi wanasimba wake kupitia akaunti yake ya Instagram.

AMEANDIKA HIVI:
Wanadamu wengi wanafanya makosa bila kutambua kwa kuwa na upeo mdogo wa kufikiri.Wanachama na viongozi nawaomba radhi kwa kitendo nilichokifanya kijana wenu.mnisamehe sana naahidi kutojitokeza tenah jambo hili.nawapenda sana na naipenda sana SIMBA SPORTS CLUB .Asanteni.”
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates