Pages

Tuesday, 21 April 2015

RONALDO DE LIMA, ZINEDINE ZIDANE, JAYJAY OKOCHA NA MASTAA KIBAO JANA WALIKUTANA KATIKA MECHI YA HISANI KUPINGA UMASKINI


Jana katika mji wa Ufaransa wa Saint-Etienne mastaa wakiwemo Mbrazil Ronaldo na Zinedine Zidane wakicheza kwenye mechi ya 12 ya hisani ya mwisho wa mwaka kupinga umasikini.
Magwiji hao wa soka Ronaldo na Zidane waliungana na wenyeji wao, wachezaji wakubwa wa zamani wakiwemo Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Jay-Jay Okocha na Gianluca Zambrotta.

Ronaldo amekuwa akisemekana kuwa na mpango wa kustaafu soka katika klabu yake ya Amerika ya Fort Lauderdale na nyota huyo mwenye miaka 38 jana alionesha kwamba bado ana vitu vitamu baada ya kufunga magoli matatu “hat trick’.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates