Pages

Sunday, 19 April 2015

CHELSEA UBINGWA MKONONI EDEN HAZARD AKIFUNGA NA KUIPOTEZA MANCHESTER UNITED 1-0

Chelsea wameendelea kuongoza Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi wa Nyumbani Stamford Bridge wa Bao 1-0 dhidi ya Man United na ikiwa watashinda Mechi zao 2 zinazofuata basi wao ni Mabingwa.
Ushindi huu umewapa Chelsea uongozi wa Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Arsenal na Man United kubaki Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 11 nyuma.
Chelsea walifunga Bao lao la ushindi Dakika ya 38 kupitia Eden Hazard baada ya pasi nzuri ya kisigino ya Oscar kwenye Mechi ambayo Man United walimiliki Mpira kwa Asilimia 70 dhidi ya 30 ya Chelsea.
Katika Dakika za mwishoni Refa Mike Dean aliinyima Man United Penati baada ya Ander Herrera kuangushwa ndani ya Boksi na badala yake kumpa Kadi ya Njano.
MATOKEO YOTE MICHEZO YA JANA


Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates