Liverpool wameanza kupoteza matumaini ya kumaliza ndani ya 4 Bora za Ligi Kuu England ili wacheze Ulaya kwenye UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao baada ya kutoka Sare ya 0-0 Ugenini huko The Hawthorns na West Bromwich Albion.
Steven Gerrard, Kepteni wa Liverpool, aliiongoza Timu yake ikiwa ni Mechi yake ya 500 ya Ligi na pia Mario Balotelli kuanza Mechi yake ya kwanza tangu Februari lakini hawakupata ushindi.
Matokeo haya yamewabakisha Liverpool Nafasi ya 5 wakiwa nyuma ya Timu ya 4 Man City ambao wako Pointi 6 mbele.
WAKALI WA MAGOLI UINGEREZA 21 - Aguero 20 - Kane 19 - Costa 17 - Austin 14 - Giroud, Sanchez 13 - Hazard
MSIMAMO LIGI KUU UINGEREZA
0 comments:
Post a Comment