Pages

Saturday, 4 April 2015

MHESHIMIWA WAZIRI AWAPA NGUVU NDANDA YA KUWAUA MBEYA CITY NAGWANDA LEO, ATOA MILIONI 3 NA LAKI 6

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia jana asubuhi aliwatembelea wachezaji wa Ndanda  na kutoa posho ya wiki tatu yenye thamani ya shilingi milioni 3 na laki sita 
Ahueni hiyo inakuja wakati timu hiyo ikikabiliwa na ukata mkubwa huku ikiandamwa na michezo migumu zaid itakayoamua timu hiyo ibaki au kushuka ligi kuu vodacom ambapo leo watakuwa na kibarua kigumu kucheza na Mbeya City katika uwanja wa Nagwanda sijaona
Akizungumzia mchezo huo Kocha wa timu hiyo Meja Mingange amesema wachezaji wapo katika ari kubwa na leo watalipa kisasi kwani wanajivunia kuwepo nyumbani
Katkia mchezo wa awali Ndanda walifungwa lakini Leo ni nafasi pekee kwa ndanda kujiweka mahali pazuri endapo watapata ushindi
Ndanda wapo nafasi ya 11 ikiwa na pointi 23 sawa kabisa na mbeya city ambao wapo nafasi ya 9 kwa ubora wa magoli
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates