Pages

Friday, 24 April 2015

NUSU FAINALI UEFA DROO TAYARI BAYERN NA BARCELONA NAO JUVENTUS Vs REAL MADRID NA EUROPA NAYO DROO TAYARI


UEFA Leo hii imeendesha Droo za Mechi zake za Nusu Fainali za Mashindano ya Klabu ambazo zitachezwa Mwezi Mei.PATA DROO KAMILI:
UEFA CHAMPIONZ LIGI-DROO HIYO!!
Barcelona v Bayern Munich
Juventus v Real Madrid
Mechi za Nusu Fainali zitachezwa Mei 5 na 6 na Marudiano ni Mei 12 na 13.
Fainali itachezwa Juni 6 huko Berlin, Germany katika Uwanja wa Olympiastadion unaochukua Watu 77,000.
EUROPA LIGI
Napoli v Dnipro Dnipropetrovsk
Sevilla v Fiorentina
Mechi za Nusu Fainali za EUROPA LIGI zitachezwa Mei  7 na 14 ni Marudiano na Fainali itachezwa huko Stadion Narodowy Mjini Warsaw, Poland hapo hapo Mei 27.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates