Home »
» USAJILI ULAYA: WEST HAM KUMSAJILI "CHICHARITO"
Siku moja tu baada ya kuibeba Real Madrid na kufunga bao lililoiwezesha kusonga hadi kwenye nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, sasa West Ham inamtaka mshambuliaji Javier Harnandez ‘Chicharito’.
West Ham imeonyesha nia ya kumpata mshambuliaji huyo wa zamani wa Man United.
Hata hivyo haijajulikana kama Real Madrid watakuwa tayari kumuachia katika kipindi ambacho ameanza kuonyesha makali.
0 comments:
Post a Comment