Ukitaja majina ya mastaa hawa Manny Pacquiao na Floyd Mayweather, kila mtu anashauku ya pambano la jumamosi ambalo linasubiriwa kwa hamu na mashabiki mbalimbali duniani.
Pambano hilo ambalo linatajwa kuwa na kifahari zaidi huku viingilio vikitajwa kuwa vya gharama sana litafanyika jijini Las Vegas na litawashirikisha mabondia hao maarufu duniani.
Tayari maandalizi kwa pande zote mbili yamekamilika na kila mmoja anajiandaa kwa mara ya mwisho kabla ya kukutana ulingoni.
0 comments:
Post a Comment