Pages

Wednesday, 29 April 2015

LIVERPOOL YAPIGWA GOLI 1-0 NA HULL CITY LEO HII NI VINARA CHELSEA VS LEICESTER CITY

Jana Usiku KC Stadium ilirukaruka kwa furaha baada ya Timu yao Hull City kuitungua Liverpool Bao 1-0 katika Mechi ya kiporo ya Ligi Kuu England na kupanda hadi Nafasi ya 15 na kuiacha LIverpool ikiona matumaini yao ya kumaliza 4 Bora yakififia.
LIverpool wamebaki Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 7 nyuma ya Timu ya 4 Manchester United huku Gemu zikiwa zimebaki 4 tu.
Bao lililoiua LIverpool hapo Jana lilifungwa na MIchael Dawson katika Dakika ya 37 kwa Kichwa na sasa Hull City, chini ya Meneja Steve Bruce, Mchezaji wa zamani wa Man United, wapo Pointi 4 juu ya zile Timu 3 za mkiani ambazo mwishoni mwa Msimu hushushwa Daraja.
LIGI KUU ENGLAND
Jumatano Aprili 29
2145 Leicester v Chelsea
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates